#Local News

KAMERA BARABARANI KUDHIBITI AJALI

Jumla ya watu 5,000 waliaga dunia mwaka jana pekee wa 2025 kutokana na ajali za barabarani, ikiwa ni idadi ya juu zaidi ikilinganishwa na mwaka 2024.

Haya ni kulingana na ripoti iliyokabidhiwa Rais William Ruto, ambaye amesema kamera zitawekwa barabarani ndani ya mwezi mmoja ujao ili kuwanasa wanaokiuka sheria za trafiki, ikiwa ni sehemu ya mbinu za kukabili visa vya ajali nchini.

Kulingana na Rais, wakiukaji wa sheria watotozwa faini za papo hapo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *