#Local News

SERIKALI: KATIBA IREKEBISHWE KUOKOA UCHUMI

Serikali sasa imependekeza marekebisho ya katiba ili kupunguza gharama ya serikali pamoja na mzigo mkubwa wa mishahara ya wafanyakazi wa umma.

Akiwa mbele ya kamati ya bunge kuhusu masuala ya bajeti, Waziri wa fedha John Mbadi, ameibua hofu kwamba huenda uchumi wa nchi ukashindwa kumudu gharama ya juu ya serikali, akisema katika mapendekezo ya bajeti ya shilingi trilioni 4.7 ya mwaka ujao wa kifedha, kiwango kikubwa kitatumika kulipia mishahara.

Ameyataka mabunge kufanyia katiba marekebisho.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI: KATIBA IREKEBISHWE KUOKOA UCHUMI

KAMERA BARABARANI KUDHIBITI AJALI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *