GUARDIOLA AMTAKIA ARSENAL BAADA YA UBINGWA WA EPL
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameipongeza Arsenal pamoja na kocha Mikel Arteta baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini uingereza
Guardiola amesema Arsenal, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki wanastahili ubingwa huo, akisisitiza kuwa wamefanya kazi kubwa msimu huu.
Ameongeza kuwa ushindi wao ni wa haki kutokana na kiwango walichoonyesha katika msimu mzima.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































