RUTO AWASILI KAZAKHSTAN KWA ZIARA YA KISERIKALI
Rais William Ruto yupo nchini Kazakhstan kwa ziara ya siku mbili inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili.
Ruto alipokelewa na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Kazakhstan Yermek Kosherbayev.
Ziara hiyo inalenga kupanua ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, usafirishaji na teknolojia.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































