KESI DHIDI YA GACHAGUA INAENDELEA KUSIKIZWA MILIMANI
Kesi ya kubanduliwa mamlakani kwa aliyekuwa Naibu wa Rais Rigadhi Gachagua inaendelea kusikizwa sasa hivi katika mahaka ya milimani jijini Nairobi.
Upande wa mashtaka ukijibu maswali yaliyoibuliwa na mawakili wa Gachagua huku bunge la kitaifa, seneti na upande wa naibu rais profesa kithure kindiki ukiwasilisha ushaidi wao kuwa kubanduliwa kwa Gachagua kulifuata haki.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































