#Local News

RAIS RUTO AONGOZA HAFLA YA KUGAWANYA HATI MILIKI ZA ARDHI MOMBASA

Rais William Ruto amekitaja kifo cha  mwanamziki wa injili Rechael Wandeto kuwa kilichangiwa na siasa za ukabila na chuki  nchini.

Akizungumza katika kaunti ya Mombasa wakati wa kugawanya hati miliki za ardhi Ruto amekosoa upinzani kwa kuendeleza siasa ambazo amesema zinachangia migawanyiko na chuki niongoni mwa wakenya akisema wote waliohusika kwa mauaji ya Wandeto watakabidhiwa vikali kisheria akiwataka wakenya kujiepusha na siasa aina hiyo nchini.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *