#Local News

KAIMU INSPEKTA WA POLISI GILBERT MASENGELI APUUZA WITO WA MAHAKAMA TENA

Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kwa mara ya sita amefutilia mbali wito uliotolewa na Mahakama Kuu kumtaka afikishwe mahakamani kujibu maswali ya waliko watu watatu waliopotea mtaani Kitengela kaunti a kiambu.

Timu yake ya wanasheria ilimweleza Jaji Lawrence Mugambi kwamba kwa sasa anajishughulisha na masuala ya usalama kaunti ya Wajir.

Naibu Inspekta Jenerali wa Huduma ya Polisi ya Kenya Eliud Lagat amefika mahakamani kwa niaba yake.

Imetayarishwa na Janice Marete

KAIMU INSPEKTA WA POLISI GILBERT MASENGELI APUUZA WITO WA MAHAKAMA TENA

COOPER ADHIHIRISHA UBABE WAKE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *