#Local News

SERIKALI ITAANZISHA MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI 300 KASKAZINI NA KASKAZINI MASHARIKI MWA KENYA – GACHAGUA

Naibu Rais Rigathi Gachagua amethibitisha kuwa serikali imetanguliza maendeleo ya kasi ya Kaskazini na Kaskazini-Mashariki mwa Kenya kupitia miradi iliyolengwa ya mabilioni ya pesa inayotekelezwa pamoja na washirika.

Kulingana na Gachagua miradi yenye thamani ya bilioni 300 chini ya Mpango wa Maendeleo ya Kaskazini na Kaskazini Mashariki (NEDI) inakusudiwa kuchochea mageuzi ya kijamii na kiuchumi katika eneo hilo

Ameongeza kuwa Serikali inashirikiana na Benki ya Dunia na washirika wengine wa maendeleo ili kufanikisha miradi hiyo ambayo iko katika ngazi tofauti za utekelezwaji.

Imetayarishwa na Janice Marete

SERIKALI ITAANZISHA MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI 300 KASKAZINI NA KASKAZINI MASHARIKI MWA KENYA – GACHAGUA

NITALETA MABADILIKO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *