#Football #Sports EPL: MAN U KUTOANA KIJASHO NA CHELSEA, ARSENAL KUKAZA NATI DHIDI YA MAN CITY Ligi kuu ya uingereza inarejea wikendi hii kwa kishindo huku mbio za ubingwa zitazamiwa kuamuliwa. Hapo kesho Brentford watakua mbioni Admin / 10 hours Comment (0) (24)
#Rugby KAKAMEGA HIGH WAJIPANGA KWA MASHINDANO YA RAGA YA WACHEZAJI SABA Kocha mkuu wa raga wa shule ya Kakamega High Amos Wamanga amesema timu hiyo sasa imehamisha mwelekeo wake kuelekea mashindano Admin / 10 hours Comment (0) (32)
#Football #Sports CITY YATHIBITISHA SILVA KUONDOKA ETIHAD Klabu ya Manchester City imetangaza kwamba nahodha wake Bernardo Silva ataondoka mwishoni mwa msimu huu kandarasi yake itakapokamilika. Silva mwenye Admin / 14 hours Comment (0) (27)
#Football #Sports VILLA WAITANDAZA BOLOGNA KUWEKA MIADI NA FOREST Klabu ya Aston Villa ilijikatia tiketi ya nusu fainali ya michuano ya UEFA UROPA League ambako watamenya na Nottingham Forest Admin / 14 hours Comment (0) (36)
#Football #Sports JUNIOR STARLETS WAREJEA Timu ya taifa ya soka ya wanawake chipukizi Junior Starlets imerejea nchini kutoka Namibia ambako waliilaza wenyeji mabao 2-1 katika Admin / 14 hours Comment (0) (31)
#Football #Sports KANE ASHANGAZWA NA KIWANGO CHA LUIS DIAZ Mshambuliaji wa Bayern Munich Harry Kane amemsifu Luis Díaz kwa bao la dakika za mwisho alilolifunga na kuipa timu yao Admin / 1 day Comment (0) (42)
#Athletics #Sports FAITH KIPYEGON KUANZA MSIMU SHANGHAI Mwanariadha mashuhuri wa Kenya Faith Kipyegon anatarajiwa kuanza msimu wake wa 2026 kwa kushiriki mbio za mita 5,000 katika ufunguzi Admin / 1 day Comment (0) (16)
#Rugby #Sports SHUJAA WATARAJIWA KUNG’ARA HONG KONG Timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba Shujaa inaelekea katika mashindano ya Hong Kong Sevens ikiwa na matumaini mapya na kasi Admin / 1 day Comment (0) (28)
#Football #Sports REAL WAONYESHWA UBAYA NA BAYERN, ARSENAL YAPONEA Miamba wa soka nchini Ujerumani Bayern Munchen waliweka miadi ya semi fainali ya kombe la klabu bingwa bara Ulaya na Admin / 2 days Comment (0) (23)
#Football #Sports FIFA SERIES: STARLETS WAKALIFISHWA NYUMBANI NA AUSTRALIA Timu ya taifa ya soka ya wanawake Harambee Starlets itahitajika kufanya mabadiliko ya kimfumo ili kuondoa udhaifu uliowekwa wazi kwenye Admin / 2 days Comment (0) (38)