#Local News

DCI YAWAKAMATA WANDANI WA KOIMBURI

Wandani 3 wa mbunge wa Juja George Koimburi wamekamatwa na maafisa wa idara ya upelelezi DCI na kuweka wazi maelezo ya jinsi mbunge huyo aliongoza njama ya kujiteka nyara ili kukwepa sheria.

Katika taarifa kwa wanahabari, Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja na mkurugenzi wa DCI Mohammed Amin wamesema wamenasa magari 2 yaliyotumika kwenye njama hiyo, yakiarifiwa kumilikiwa na wandani wa mbunge huyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

DCI YAWAKAMATA WANDANI WA KOIMBURI

KIAMBU YAWATIMUA MADAKTARI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *