#Sports

KALOMBOTOLE KUZUILIWA HOSPITALINI MBAGATHI

Mshukiwa wa mauaji ya wagonjwa 2 katika hospitali ya Kenyatta Kennedy Kalombotole atazuiliwa katika hospitali ya Mbagathi.

Ni uamuzi uliotolewa na hakimu wa mahakama ya Kibera Daisy Mutai anayesema mshukiwa hawezi kuzuiliwa katika kituo cha polisi kutokana na matatizo ya akili aliyo nayo.

Mutai ameelezea haja ya Kennedy kuwa chini ya uangalizi wa wahudumu wa afya kufuatia ombi lililowasilishwa na mawakili wake.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *