#Local News

SADC, EAC ZATAKIWA TANZANIA

Jumuiya za kikanda za Afrika ikiwemo ile ya Afrika Mashariki EAC na ile ya Kusini mwa Afrika SADC zimetakiwa kumwajibisha Rais wa Tanzania Samia Suluhu kuhusiana na ukiukaji wa haki za kibinadamu ulioripotiwa dhidi ya waandamanaji wanaopinga uchaguzi nchini humo.

Makundi ya wanaharakati akiwemo Martha Karua na Hussein Khalid, wamelalamikia ripoti za mateso, mauaji na waandamanaji kutekwa nyara na vikosi vya usalama.

Hali tete ya usalama nchini imesababisha zoezi la kufunguliwa kwa vyuo vikuu kuahirishwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SADC, EAC ZATAKIWA TANZANIA

MOSHI MWEUPE VYUONI

SADC, EAC ZATAKIWA TANZANIA

DCP YAJIONDOA KWENYE UCHAGUZI MALAVA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *