MUDAVADI AWARAI WAKENYA KUSITISHA MAANDAMANO

Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewarai vijana kusitisha maandamano dhidi ya serikali huku akisisitiza kwamba maandamano hayo yanatatiza shughuli za kibiashara na kuchagia uharibifu wa mali.
Mudavadi amesema kuwa uhalifu unaotokana na maandamano hayo umelemaza ukuaji wa uchumi nchini.
Imetayarishwa na Janice Marete