#Local News

MAGAVANA, KMPDU ZAVUTANA KUHUSU IDADI YA VIFO

Baraza la magavana limepinga ripoti kuhusu ongezeko la vifo vya Watoto wanaozaliwa kufuatia mgomo wa madaktari katika kaunti ya Kiambu, wakitaja ripoti hizo kuwa zenye nia ya kuudhalilisha ugatuzi nchini.

Mwenyekiti wa baraza hilo Ahmed Abdullahi akizungumza baada ya mkutano wa baraza hilo, ameushutumu muungano wa madaktari KMPDU kwa madai ya kuweka idadi hiyo juu zaidi.

Kulingana na KMPDU, zaidi ya vifo 100 vimeripotiwa katika hospitali za Kiambu wakati wa mgomo huo, huku ikishinikiza uchunguzi huru.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAGAVANA, KMPDU ZAVUTANA KUHUSU IDADI YA VIFO

UGANDA YAKANA KUWATEKA WAKENYA

MAGAVANA, KMPDU ZAVUTANA KUHUSU IDADI YA VIFO

RAIS AJIUZULU KUTOKA WADHIFA ALIOPEWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *