#Sports

NAIROBI UNITED MBIONI KUJIIMARISHA KABLA YA LIGI

Klabu ya Nairobi United ambao wamepanda ngazi kushiriki ligi kuu ya Kenya, KPL wameimarisha juhudi za kuleta ushindani kwenye ligi hiyo, wakifanya usajili kadhaa akiwemo kiungo mkabaji wa KCB, Mwanzur Suleiman ambaye pia ni mmoja kati ya waliokuwa wakiwakilisha timu ya taifa Harame Stars katika mashindano  ya CHAN.

United watashiriki sio tu katika ligi kuu ya kenya bali pia katika kipute cha CAF Confederations na wanatazamia kupata ushindi huku wakiongeza nguvu mpya wakiwemo wachezaji kama vile, Golikipa Bernard Jairo wa Kariobangi Sharks, Shami Mwinyi wa Posta rangers, Chris Opondo wa Talanta FC na Daniel Wafula kutoka Murang’a Seals.

Imetayarishwa na Nelson Andati

NAIROBI UNITED MBIONI KUJIIMARISHA KABLA YA LIGI

TUZO, FEDHA ZA MOROCCO CHAN

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *