WETANGULA TOSHA 2032

Wabunge wa eneo la magharibu ya nchi wamemrai spika wa bunge la kitaifa Moses Masika Wetangula kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao .
Wakizungumza katika eneo bunge la Lwanda zaidi ya wabunge 20 wamesema wetangula ana nafasi nzuri kuiongoza sio tu jamii ya mulembe bali pia taifa kwa ujumla.
Kwa upande wake Wetangula amewataka wakaazi wa eno hilo kudumisha umoja iwapo wanalenga kujtoa kiti cha urais.
Kulingana na wetangula migawanyiko ya kisiasa miongoni mwa viongozi wa eneo hilo ndicho chanzo cha ukosefu wa maendeleo na umaarufu wa kisiasa katika ngazi za kitaifa.
Imetayarishwa na Janice Marete