EDDY OKETCH AKASHIFU HATUA YA RUTO KUFANYA MJI WA BUNGOMA MJI MKUU

Seneta wa Migori Eddy Okech amepuuzilia mbali ahadi yar ais Wiliiam Ruto kwamba mji wa Bungoma utafanywa kuwa jiji.
Akihutubu eneo la Busia okech amesema kwamba rais anapaswa kukoma kutoa ahadi asizoweza kutimiza na badala yake kufanya miradi ya maendeleo yatakayoimarisha uchumi na maisha ya wananchi.
Imetayarishwa na Janice Marete