WANAOPINGA UTEUZI WA WANACHAMA WA ODM KUWA MAWAZIRI NI WACHOYO

Baadhi ya viongozi wa chama cha ODM kaunti ya Transnzoia wamewasuta viongozi wa mrengo wa azimio wanaopinga kuteuliwa kwa baadhi ya wanachama wa chama hicho katika baraza jipya la mawaziri.
Viongozi hao wanasema kuwa kinara wa azimio Raila Odinga amejumuisha baadhi ya Viongozi katika baraza hilo kama njia moja ya kuafikia ugavi sawa wa raslimali za taifa.
Imetayarishwa na Janice Marete