SERIKALI IMEWASALITI WAKENYA; OMANGA MILLICENT ASEMA
Aliyekuwa Seneta mteule Millicent Omanga sasa anasema kuwa kuongeza mishahara ya maafisa wa serikali wakati huu sio nzuri.
Katika taarifa yake Omanga amesema kutokana na msukosuko wa sasa wa kutaka mishahara hiyo ipunguzwe, ni sawa na kuwasaliti Wakenya.
Omanga aidha amesema kuwa Wakenya hawafai kudanganywa na viongozi kila mara huku akisisitiza kwamba wanachotaka wananchi kwa sasa ni mishahara ya maafisa wa serikali kupunguzwa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































