KENYA YATAKA IMF KUFANYA TATHMINI YA UONGOZI NA UFISADI NCHINI

Kenya imelitaka shirika la kimataifa la fedha IMF kufanya tathmini rasmi ya matatizo ya uongozi na ufisadi nchin kenya.
Akizungumza wakati wa kufungua rasmi mkutano wa KRA 2024 Waziri mkuu Musalia Mudavadi amesema kuwa ukaguzi wa usimamizi wa IMF unatarajiwa kuonyesha iwapo ufisadi unasababisha kupunguzwa kwa mapatoau matatizo mengine katika fedha ya umma.
Imetayarishwa na Janice Marete