WATU 277 WAFARIKI KWENYE MAFURIKO

Wizara ya masuala ya ndani na utawala wa nchi imesema jumla ya watu waliofariki kutokana na mafuriko ni 277, wengine 75 wakiwa hawajulikani waliko.