SERIKALI ITUPE BOTI ZA BURE ENEO LA GARSEN-LAMU

Uchukuzi umelemazwa katika barabara kuu ya garsen -lamu baada ya mto tana kuvunja kingo zake na kusababisha mafuriko makubwa.
Inaarifiwa kuwa hali hii imewalazimu baadhi ya wanafunzi wanaorejea shuleni kutumia boti kusafiri hadi Mombasa na maeneo ya kaskazini mashariki ya nchi.
Wasafiri wanaotumia barabara hiyo wakilazimika kugharamikia zaidi nauli ya waendako.
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































