#Local News

AFUENI KWA MAJAJI WA MAHAKAMA YA UPEO

Ni afueni kwa majaji 7 wa mahakama ya upeo baada ya mahakama kuu mjini Narok kutoa agizo la kuzuia kwa muda tume ya huduma kwa Mahakam JSC kuwaagiza majaji hao wafike mbele yake kujibu malalamishi yaliyowasilishwa dhidi yao.

Kwa mujibu wa mlalamishi kwenye kesi hiyo, agizo la JSC kuwataka majaji hao wafike mbele yake linakosa uwazi kuhusiana na mwongozo wa utaratibu huo, hakimu Charles Kariuki akiagiza kesi hiyo isikilizwe tarehe 25 mwezi ujao ili kubaini uzingatifu wa vigezo hivyo.

Majaji hao 7 ni Pamoja na jaji mkuu Martha Koome, naibu wake Philomena Mwilu, majaji Mohammed Ibrahim, Smokin Wanjala, Njoki Susana, Isaac Lenaola na William Ouko.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

AFUENI KWA MAJAJI WA MAHAKAMA YA UPEO

SERIKALI YAOMBWA KUKABILI FUNZA KAKAMEGA

AFUENI KWA MAJAJI WA MAHAKAMA YA UPEO

ACHENI MZAHA, RAIS RUTO KWA WAKENYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *