WANAFUNZI 900 WASOMEA CHINI YA MTI KUFUATIA MAPOROMOKO YA MADARASA BUNGOMA

Zaidi ya wanafunzi 900 katika shule ya msingi ya Masuno eno bunge la Bumula kaunti ya Bungoma wanalazim ika kusomea chini yha miti baada ya madarasa yao kuporomoka.
Katika kikao na wanahabari naibu wa mwalimu mkuu wa shule hiyo john barasa , amewataka wahisani kuwasaidia kujenga madarasa mengine akisema kwamba , majengo yaliyoporomoka yalijengwa katika enzi za wakoloni na yalikuwa hatari kwa wanafunzi.
Imetayarishwa na Janice Marete