HAIKUA RAHISI KUPATA USHINDI ASEMA OBILO
kocha mkuu wa Zetech Sparks Maurice Obilo amekiri kwamba haikuwa kazi rahisi kupata ushindi ugenini mjini Eldoret katika mechi nyingine ya Ligi Kuu ya wanawake.
Wanafunzi hao waliwashinda Eldonets 70-43 mjini Eldoret katika uwanja wa Uasin Gishu ili kuweka hai matarajio yao ya msimu
Imetayarishwa na Nelson Andati
English 

















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































