#Local News

WAATHIRIWA WA MAFURIKO NYANDO WALILIA MSAADA

Waathiriwa wa mafuriko katika eneo la Nyando kaunti ya Kisumu wamelalamikia mazingira duni kwenye kambi ambamo wamekuwa wakiishi tangu mwaka 2019 baada ya nyumba za kusombwa na mafuriko.

Miongoni mwa changamoto zao ni ukosefu wa mahitaji ya kimsingi wanayosema umeathiri wanao hasa wenye umri mdogo, Pamoja na akina mama wajawazito.

Wameitaka serikali kuingilia kati ili kudhibiti athari za mafuriko.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAATHIRIWA WA MAFURIKO NYANDO WALILIA MSAADA

MADAI YA OMTATAH YAIBUA UTATA BUSIA

WAATHIRIWA WA MAFURIKO NYANDO WALILIA MSAADA

NPSC YAPATA USHINDI DHIDI YA NPS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *