#Local News

WABUNGE WA UPINZANI KUPINGA MSWADA MAHAKAMANI

Baadhi ya wabunge wa upinzani wametishia kuelekea mahakamani kupinga mswada wa kubinafsishwa kwa shirika la Kenya Pipeline iliyopitishwa hapo jana bungeni, wakisema haukuhusisha maoni ya wananchi.

Katika kikao cha kujadili na kupitisha hoja hiyo, wabunge hao waliondoka bungeni wakipinga uamuzi wa kupitishwa kwa mswada huo.

Hata hivyo, waliounga mswada huo wakiongozwa na kiongozi wa walio wengi Kimani Ichung’wa, waliutetea wakisema unalenga kuboresha utandakazi wa Kenya Pipeline mbali na kudhibiti ufisadi.

Imetayarishwa na Antony Nyingesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *