#Local News

OGAMBA: KUNA NAFASI YA KUBADILISHA SHULE

Wazazi walio wa wanafunzi wanaojiunga na gredi ya 10 wamepewa hakikisho kwamba wangali na nafasi ya kubadilisha shule walizowekwa wanao, baada ya kuibuka kwamba baadhi ya wanafunzi wamewekwa katika shule za jinsia tofauti.

Hakikisho hilo limetolewa na Waziri wa Elimu Julius Ogamba, huku zoezi la kuwapokea wanafunzi hao likiingia siku ya pili hii leo baada ya kuanza hapo jana kote nchini.

Milolongo mirefu shuleni ni miongoni mwa changamoto.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

OGAMBA: KUNA NAFASI YA KUBADILISHA SHULE

JSC YAENDELEZA MSAKO WA MAJAJI

OGAMBA: KUNA NAFASI YA KUBADILISHA SHULE

ODM YAANDAA NDOA NA UDA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *