#Local News

RUTO ABADILI MSIMAMO, ATEUA JOPOKAZI KUANGAZIA UFADHILI WA ELIMU

Rais William Ruto amebadili msimamo wake kuhusiana na mfumo wa kufadhili elimu ya juu na kubuni jopokazi la watu 129 kuangazia upya mfumo huo, ambao huenda ukarekebishwa baada ya kupokea pingamizi kutoka kwa wakenya wa matabaka mbali mbali.

Kupitia chapisho kwenye gazeti rasmi la serikali, Ruto amesema jopokazi hilo litakuwa na kamati ndogo 4 chini ya uwenyekiti wa Profesa Japheth Ntiba.

Kulingana na Rais Ruto, jopokazi hilo litangazia gaharama ya kusomea kozi za digrii, muundo wa mikopo kwa wanafunzi na malalamishi kutoka kwa wanafunzi kwenye kategoria ambazo haziwiani na mapato ya familia zao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO ABADILI MSIMAMO, ATEUA JOPOKAZI KUANGAZIA UFADHILI WA ELIMU

KASI MAHAKAMANI YAPUNGUA, KOOME

RUTO ABADILI MSIMAMO, ATEUA JOPOKAZI KUANGAZIA UFADHILI WA ELIMU

MASENGELI: WALINZI WA WA JAJI MUGAMBI WALIHUDHURIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *