NCPB MBIONI KUNYAKUA TAJI
Timu ya NCPB imekaribia kuhifadhi taji lao la Shirikisho la Mpira wa Mikono la Kenya kwa ushindi rahisi wa 41-26 dhidi ya Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta katika Uwanja wa Nyayo
Kocha wa NCPB Bryan Mathews amepongeza wachezaji wake kwa juhudi zao, akisema walionyesha mchezo mzuri
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































