#Local News

WABUNGE KUCHUKUA MDA ZAIDI KUJADILI MSWADA WA FEDHA

Mjadala kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2024 unatarajiwa kuanza rasmi hii leo.

Mswada huo umewasilishwa katika bunge la kitaifa wakati ambapo spika wa bunge la kitaifa Moses Masika Wetangula amewataka wabunge wawe wavumilivu kwani vikao vya leo huenda vikadumu kwa muda murefu zaidi.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *