RUTO AONGOZA HAFLA YA KUFUZU KWA MAKURUTU WA NYS
Rais ruto anaongoza hafla ya 88 ya kufuzu kwa makurutu wa huduma ya taifa kwa vijana NYS inayofanyika katika chuo cha mafunzo ya kijeshi eneo la Gilgil kaunti ya Nakuru.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 

























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































