DCI NJERI; TUJIEPUSHE NA WAHALIFU

Naibu mkurugenzi wa upelelezi DCI katika kaunti ndogo ya Nyamira kusini Emily Njeri amewashauri wenyeji kuwa waangalifu kufuatia matapeli wanaoendelea kuwalaghai wakaazi wa eneo hilo.
Amewashauri pia kutokutana na watu wasiowafahamu na kuwauzia laini zao za simu.
Imetayarishwa na Janice Marete