#Local News

MWAKILISHI WA KIKE KAUNTI YA TRANSNZOIA LILIAN SIYOI APENDEKEZA MASOMO YA BURE KWA WANAFUNZI WA SHULE ZILIZOKO KATIKA MAZINGIRA YASIYO RASMI

Wanafunzi wanaosoma katika shule zilizo maeneo yasiyo rasmi huenda wakanufaika na masomo ya bure iwapo pendezo la Mwakilishi wa kike katika kaunti ya Transnzoia Lilian Siyoi Chebet la kutengewa hazina maalum itakayokithi mahitaji yao yote litaithinishwa.

Kwa mujibu wa Siyoi hali ya uchumi wa taifa kwa sasa hairuhusu kuwepo kwa masomo ya bure kwa kila mwanafunzi humu nchini huku akiunga mkono hatua ya kuweka basari katika hazina moja kwa madai kwamba hilo litasaidia kulainisha mfumo wa ufathili wa masomo.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *