#Local News

KARUA AMTAKA RUTO NJE

Shinikizo zinaendelea kutolewa zikitaka serikali ya Kenya Kwanza ikiongozwa na Rais William Ruto ijiondoe mamlakani kutokana na mabacho kimetajwa kuwa ukiukaji wa wazi wa kanuni za kidemokrasia kufuatia wimbi la maandamano ya kuipinga serikali hiyo.

Wa hivi punde kutoa shinikizo hizo ni kinara wa chama cha PLP Martha Karua, akisema serikali ya kidemokrasia inafaa kuwasikiliza wakenya na wala si kuwakabili kwa mtutu wa bunduki.

Alikuwa akizungumza kwenye mahojiano na kituo kimoja cha runinga nchini.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *