#Football #Sports

COURTOIS NJE KATIKA MECHI YA KUFUZU

Huenda Ubelgiji ikakosa huduma za kipa wake Thibaut Courtois katika mechi yake ya kufuzu dimba la kombe la dunia dhidi ta Kazakhstan na Liechtenstein baada ya kupata jeraha la msuli wa mguu alipokuwa akiichezea klabu yake ya Real Madrid.

Kulingana na kalbu hiyo, Courtois mwenye umri wa miaka 33, alipata jeraha hilo kwenye mechi iliyoishia sare ya kutofungana dhiid ya Rayo Vallecano Jumapili.

Licha ya Madrid kukosa kuweka wazi muda ambao kipa huyo atakaa nje, vyombo vya habari nchini Uhispania vimeripoti kwamba huenda akaa nje kwa kati ya siku 10-12.

Ushindi dhidi ya Kazakhstan Jumamosi utaipa Ubelgiji tiketi ya kufuzu dimba la kombe la dunia.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

COURTOIS NJE KATIKA MECHI YA KUFUZU

MWONDOANO WA CAF KUCHEZWA WIKI HII

COURTOIS NJE KATIKA MECHI YA KUFUZU

KESI YA CHUKI DHIDI YA SALASYA KUENDELEA,

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *