WAPENI HUKUMU YA KIFO WASHUKIWA
Familia ya mwanariadha wa humu nchini ambaye alikua anakimbilia taifa la uganda Benjamin Kiplagat imeiomba mahakama kuwapa hukumu ya kifo washukiwa wawili wa mauwaji ya mwanariadha huyo.
Elizabeth chemweno ambaye ni mamake marehemu na ndugu zake wawili walieleza mahakama kwamba kama familia wanahangaika tangu kufariki kwa mwanariadha huyo ambaye wanasema alikua tegemeo lao.
Imetayarishwa na Nelson Andati
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































