WAKAAZI WA TRANSNZOIA WANUFAIKA NA MRADI WA MAJI
Ni afueni kwa wakaazi wa kaunti ya Transnzoia baada ya Gavana wa kaunti hiyo George Natembea kuwahakiishia kuwa kampuni ya kusambaza maji itaboreshwa hata zaidi ili kusambaza maji kwa wakaazi wote.
Kulingana na natembeaya wakati wa wateja wa maji kulimbikiziwa bili za maji umepita na kwamba kila mmoja atalipa kulingana na matumizi yake.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































