#Local News

KENYA NA MALASYIA KUENDELEA KUSHIRIKIANA

Rais William Ruto amesema kuwa nchi za Kenya na Malaysia zitaendela kushirikiana katika sekta mbalimbali kwa manufaa ya mataifa hayo mawili .

Akizungumza wakati wa kumkaribisha Waziri mkuu wa Malaysia nchini  katika ikulu ya rais hapa Nairobi amesema kuwa mataifa hayo mawali yana diplomasia ya zaidi ya miaka 60 .

Huku akisisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano wa mataifa hayo akiongeza kuwa kenya ina uwezo kufikia mataifa yaliyostawi.

Imetayarishwa na Jones Koikai

A basic bullet vibrator like this one

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *