#Local News

KOSKEI AWAONYA WAFISADI SEKTA YA UJENZI

Mkuu wa utumishi wa Umma Felix Koskei, amekariri msimamo wa serikali ya kitaifa kujitolea kukabiliana na ufisadi, suala analosema limeathiri maendeleo

Akizungumza katika hafla ya kuadhimisha miaka 70 tangu kuzinduliwa kwa shirika la kitaifa la nyumba NHC katika ukumbi wa Bomas jijini Nairobi, Koskei ametoa onyo kwa wanaojihusisha na ufisadi, akisema chuma chao ki motoni.

Aidha, Koskei amesema kuwa uvumbuzi na teknolojia ndiyo nguzo kuu katika kufanikisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KOSKEI AWAONYA WAFISADI SEKTA YA UJENZI

SERIKALI KUHAKIKI SERA ZA KIGENI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *