#uncategorized

NYORO APIGIWA DEBE KUWA NAIBU RAIS 2027

Viongozi mbali mbali wameendelea kumshinikiza mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro kuwa mgombea mwenza wa rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027.


Wa hivi punde ni mbunge wa jumujia ya afrika mashariki EALA David Olesankok akisema Nyoro ana mwonekano wa kitaifa na pia atawakilisha vijana katika ngazi za juu.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *