#Local News

MAHAKAMA KUWAHESABU WAFANYAKAZI WAKE LEO

Idara ya mahakama imeratibu zoezi la kupata hesabu ya wafanyakazi wake hii katika juhudi za kuimarisha usimamizi na uadilifu katika deta zake.

Kupitia taarifa, jaji Mkuu Martha Koome amesema zoezi hilo linalenga kufanikisha mipango kuhusu wafanyakazi, kuimarisha uwajibikaji na kuhakikisha matumizi mwafaka ya raslimali katika mahakama zote nchini.

Ameeleza kwamba zoezi hilo linalenga kutambua na kuimarisha mikakati ya kuhakikisha uadilifu na uwajibikaji kwenye idara hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAHAKAMA KUWAHESABU WAFANYAKAZI WAKE LEO

MAAFISA 4 NYAMIRA KUSHTAKIWA NA UFISADI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *