#uncategorized

WALIMU WA JSS TRANS NZOIA KULEMAZA MASOMO

Walimu wa sekondari msingi maarufu kama JSS katika kaunti ya Trans Nzoia chini ya uongozi wa katibu Walter Namianya na mwenyekiti Aron Mukhwana wamejiunga na wenzao kote nchini kuandaa maandamano kuishinikiza serikali kuwapa ajira ya kudumu la sivyo hawatarejea kazini.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *