#Athletics #Sports

ELIUD KIPCHOGE ACHAGULIWA KUBEBA BENDERA YA OLIMPIKI

Shujaa wa marathon wa Kenya, Eliud Kipchoge, ameteuliwa kuwa mmoja wa wabeba bendera rasmi wa Olimpiki katika Michezo ya Barafu ya Milano Cortina 2026.

Kipchoge atashika bendera ya Olimpiki wakati wa sherehe za ufunguzi kwenye Uwanja wa San Siro, Milan, Ijumaa hii

Uteuzi wake na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa umemweka miongoni mwa watu wanane wenye heshima duniani kote kutoka sekta ya michezo, uongozi na utetezi wa masuala ya jamii.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *