#Local News

VYUO VIKUU VYATOA MWONGOZO MPYA

Waziri wa elimu Julius Ogamba, ametangaza kwamba wanafunzi 180,000 kutoka vyuo vikuu 36 nchini wametumiwa mwongozo mpya wa karo kutoka vyuo hivyo, kutokana na agizo la Rais William Ruto kuvitaka kufutilia mbali mwongozo wa wali.

Katika taarifa, Ogamba amesema kuwa zaidi ya wanafunzi 125,000 walituma maombi kufanya kozi za digrii katika vyuo mbali mbali.

Aidha, amesema kwamba serikali inafanya kila iwezalo kuona kuwa kila mwanafunzi aliyetuma maombi ya kupokea ufadhili wa masomo, anapokea ufadhili huo kupitia bodi ya elimu ya juu, HELB.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

VYUO VIKUU VYATOA MWONGOZO MPYA

KNUT, KUPPET KULEMAZA MASOMO

VYUO VIKUU VYATOA MWONGOZO MPYA

ANGUKA PEKEE YAKO, UDA KWA MALALA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *