#Local News

UPINZANI WASHUTUMU VITISHO VYA KISIASA

Viongozi wa Muungano wa Upinzani wameshutumu kile wanachosema ni vitisho vya kisiasa na vurugu wakisema kuwa kenya haina ukiritimba wa ghasia na kutaka kuwepo kwa siasa za heshima kote nchini.

Akizungumza katika kaunti ya Nyamira, Naibu kinara wa chama cha jubilee Fred Matiang’I ametoa ujumbe mzito dhidi ya uchochezi wa kisiasa dhidi ya mikutano ya upinzani.

Aidha Amesisitiza kuwa kila kiongozi ana uhuru wa kikatiba wa kufanya shughuli zake za kisiasa huku akionya kuwa upinzani hautakubali uchochezi huo kuendelea.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

UPINZANI WASHUTUMU VITISHO VYA KISIASA

MWAKILISHI WA WADI KALIMONI AVAMIWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *