#Local News

WAZIRI WA KILIMO TRANSNZOIA PHANICE KHATUNDI AWAHIMIZA WAKULIMA KUKUMBATIA UKULIMA WA UPANZI WA MICHE

Waziri wa kilimo kaunti ya transnzoia Phanis Khatundi amewarai wakaazi na wakulima wa kaunti hiyo kukumbatia kilimo cha upanzi wa miti Agroforestry ili kusaidia katika juhudi za kukabili hadhari za mabadiliko ya hali ya anga.

Kwa mujibu wake upanzi wa miche unasaidia kutunza rotuba yam changa kuzuia mmomonyoko wa udongo miongoni mwa manufaa mengine.

Gatundi  aidha amewahimiza wakaazi kupunguza shughuli za ukataji wa miti na badala yake kupanda miti kwa wingi.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAZIRI WA KILIMO TRANSNZOIA PHANICE KHATUNDI AWAHIMIZA WAKULIMA KUKUMBATIA UKULIMA WA UPANZI WA MICHE

HONGERA KENYA KWA KUONGEZA KODI ZAIDI ;

WAZIRI WA KILIMO TRANSNZOIA PHANICE KHATUNDI AWAHIMIZA WAKULIMA KUKUMBATIA UKULIMA WA UPANZI WA MICHE

MABALOZI WA MATAIFA WAWASILI KATIKA IKULU YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *