NI NYUMBANI AU SERIKALINI? GACHAGUA KUJUA HATIMA YAKE HII LEO

Vikao vya kusikiliza na kuwahoji mashahidi katika hoja ya kumbandua mamlakani naibu wa rais Rigathi Gachagua inaendelea kwa sasa katika bunge la seneti.
Huku maseneneta wakitaka ufafanuzi zaidi kuhusiana na madai yaliyoibuliwa na mhasisi wa hoja hiyo.
Imetayarishwa na Janice Marete