#Local News

UHABA WA MATABIBU WAATHIRI HUDUMA ZA AFYA

Uhaba wa matabibu nchini  umeathiri huduma za afya  kwa wakenya serikali ikitakiwa kuajiri wahudumu hao Zaidi.

Wakiongea kwenye kongamano linaloendelea huko Mombasa wanasema  idadi ya wagonjwa wanaohudumiwa na tabibu mmoja iko juu zaidi ikilinganishwa na  kiwango kilichowekwa na shirika la afya duniani WHO.

Wanasema kutokana na uhaba huo wagonjwa mara nyingi hutumwa katika vituo  vingine vya afya hali inayochangia magonjwa wanayougua kukosa kushughulikiwa kwa wakati.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

UHABA WA MATABIBU WAATHIRI HUDUMA ZA AFYA

WAACHENI WAKENYA HAI, KK YAAMBIWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *