SERIKALI YATENGA MILIONI 500 KUWAFIDIA WAADHIRIWA WA MRADI WA BWAWA LA WACHE HUKO KWALE
Waziri wa maji Erick Muga anasema kuwa serikali imetenga shilingi milioni 500 kuwafidia waathiriwa wa utekelezwaji wa mradi wa bwawa la mwache kaunti ya kwale.
Muga ameweka wazi kwamba kuchelewa kwa mchakato huo kum esababishwa na ulipaji wa fidia kwa waadhiriwa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































